🙄 Samia Suluhu’s convoy
Absolutely ridiculous considering that she is running practically unopposed
Hii ni kufuru! Ila acha wa-enjoy while they can
#TutaelewanaTu
Mnaendelea kuchukulia mambo haya kama mzaha. Hamuelewi hatari mnayoizua. Ninahofia sana pale ambapo msingi wa utu na kujali utakapoanza kubadilishwa kuwa visasi, kwa sababu huo ndio utakuwa mwanzo wa maangamizi ya taifa. Tukifika hapo, hakuna mtu, wala mtoto wa mtu yeyote, atakayebaki salama. Epukeni huu upumbavu kwa kuwa ni hatari mno. Maneno haya tunayatoa kwa uchungu mkubwa. Tambueni wazi , sisi si kondoo. Tunajali, tunafikiria. Ikiwa maisha yetu na vifo vyetu vinaweza kuwa kienyeji namna hii, mnadhani tutabaki kufikiria hatua gani ? Acheni , Acheni , Acheni.
😭🙏🏽 Nimelia kwa furaha na kwa huzuni pamoja‼️
Watanzania we are so special! People singing religious hymns on a crowded bus ❤️ while encouraging each other! Such solidarity and love!
Yaani mtu amepanda basi baada ya kusubiri masaa anapambana kufika nyumbani au kazini, maisha magumu lakini bado anapata muda kumtukuza Mungu 🙏🏽
Ila maombi yetu yameambatana na vitendo kwa hiyo Mungu lazima atasimama 🙌🏽
Ndo maana safari hii watanzania hawana hofu tena! Tumemtanguliza Mungu ktk yote
Huu mwezi hatutakaa kuusahau katika historia
#WenyeNchiWananchi #Oktoba29Tunatoka
#TutaelewanaTu
DAAA ILA MUNGU ANAJUA KUJIBU MAOMBI.
ONA WANAVYO TUSAIDIA KILE KIPANDE CHA #NoElection
Hadi raha. Piteni hadi vijijini huko, ili No election ifanyike kistaarabu. 🤣🤣🤣
"#Tanzania is sliding into electoral authoritarianism – a system where polls are held, but within a manipulated process where the ruling party retains power through state control, patronage, violence, intimidation and manipulation of electoral systems." https://t.co/jBqlmAwhkG
MAANDAMANO YA KITAIFA,,, 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 OCTOBER 29.2025.
Tuikomboe nchi yetu,tukishindwa mwaka huu...basi sisi ni watumwa wa watu filani wachache
Ewe kijana amka....
Follow 👉 @IkindaKani11826#CHADEMA_NI_IMANI ❤️
TUTAKUWEPO🫵🫵🫵
Masikini wenye sare wakitumiwa kuwatisha masikini wenzao ili watawala dhalimu waendelee kula na kusaza bila usumbufu.
Hawa hawana uhakika wa afya zao, hawana uhakika wa akiba zao, wala elimu za watoto wao.
Watawala wana yote hayo na ziada kubwa.
Nawasilisha.
Dr. Chris Cyrilo.