@Baradhuli2 Najua hamjataka kukaa kinyonge, ukwli unajulikana kua lisu ndo nguli wa Sheria nchi hii ila kwakua mwamba ngoma huvutia kwake hatakama haitoi mlio mzuri Kila la kheri tunawatakia na katuga wenu.
@Kimbesa11@mhabukat We jamaaa,nakuhurumia sana,hii Dunia n kigeugeu sana, yatunze unayo yaandika Tena uyatinze vizuri pale funzo la kukutambulisha jinsi ulimwengu ulivo utakua inapitishwa kwene maandiko Yako haya unayooyaandika,
@Kimbesa11@HussenAmid49492@Jambotv_@ChademaTZ2 Iwe ni ccm au cyo wewe hauna ulazina wa kujua anamwambia Nan kuwa hawatuwez,shida unajishtukia sana kama mwiz au aliefumaniwa,nenda kafanye tohara uchafu ukuondoke ndo utaona Raha ya uhuru katika tendo la ndoa.haki Yako huwez kuogopa kuidai Kwan moyo wako utakua huru na WA aman.
@Kimbesa11@HecheJohn@judiciarytz Hata waliotenda mabaya waliishi mda mrefu tuu iliwaje kushudia utukufu wa mwenyez mumgu,mda mwingine basi myaone mema hata kama hamwapendi,koo mmeamua kuwashindilia kwa nyundo kabisa ili muwaondoe katika nyanja za kisiasa sis niwamoja tunaijenga nchi Moja kwann nikikukosea uniue?
@Kimbesa11@HecheJohn@judiciarytz Ndomana unatukanwa,nakamabhuja be matured enough utatukanwa sana wewe,yaani kizaz Cha watu kama ninyi ilitakiwa ikimpendeza mungu awapende zaidi ili msije mkazaa viumbe vya ajabu vikaendelea kuleta ujinga nchini
@Kimbesa11@HabarimpyaTv We jamaa nataman nikuheshim ila duuu unakela sana,kwann kilakitu kwako kikiwa katika mtazamo unaoonekana niwakushauri makosa yanayofanyika na serikali unakuja juu na mkali sana wakati ni dhahiri kabisa gwajima alichokifanya nihaki yake ya kikatiba Wala hakumtukana mtu,
@Kimbesa11@IkindaKani11826 Hamjiulizi ni kwanini chadema wanasema no reforms no election nyie mnakimbilia kusema eti n mamluki wanatumiwa na wazungu,,,hilo deni la tirion 107. Hamlizungumzii how can affect Tanzanian development.
@Kimbesa11@IkindaKani11826 Wazaz wangu hawakunilea hivo mkuu shida ninyi ndo mnatufanya tuzinajisi nafsi zetu, nmefuatilia komenti zako nyingi kaka yaani wewe hujawai kuona jambo jema ndani ya chadema,katiba inatupa uhuru wa watu kutoa maoni Yao bila hata ya kuingiliw na serikali,watu wanatoa maoni hamjaji