KWENYE KUSAKA AJIRA.
Kama mipango yako ya maisha inahusu kuajiriwa , roho wa mitaa ananiambia nikukumbushe haya mambo madogodogo;
.
1. Tunza vyeti vyako kwa utaratibu mzuri, mara zote kumbuka vilipo. Kama kuna ambacho inabidi ukifanyie kazi, kifanyie kazi kabla hujalazimika. Mfano, kama kuna ambacho kina jina linaloweza kukuletea maswali, tafuta ‘affidavit’ au Deed Poll mapema.
.
2. Acha katabia kakutuma CV moja na barua moja kwa kila maombi ya kazi. Unahitaji kuzihariri kuendana na mahitaji ya kazi unayoomba.
.
3. Ukienda kwenye usaili (Interview), maneno ambayo huyatamki, yanasikika kwa sauti kubwa kuliko unayoyasema. Zingatia kila kitu; nguo uliyovaa, ishara unazotumia na kila kitu.
.
4. ‘interview’ unayoenda na ukakosa kazi usiite ‘kushindwa’. Mchakato wa wewe kutafuta kazi utahusisha kukosa na kupata, kila nafasi iwe funzo na ikuandae kwa hatua inayofuata.
.
5. Yupo Mungu mgawa riziki, fanya yote yaliyo ndani ya uwezo wako lakini ruhusu nafsi yako kunyenyekea mbele ya aliyekuumba. Akupe afya njema, kujiamini na kukubalika.
.
#Champ. 02/04/2024. Ohio.
Kila siku tukisema Mitandao ina nguvu mnakuwa hamsikii angali mdomo ulivyoponza kichwa
Wacha Ardhi ichukue hicho cheti wabaki na makomwe yao kwani lazima muongee kila kitu jamani 🚮
Wacha wee 😅
Mama yao keshakwea pipa yuko kwa akina Tinubu, mweh!
Hataki kelele zenu, mwaya!
Kila mtu ashinde mechi zake! Umeme, maji, sukari, dola, mafuta mtajibeba! 😥
#TutaelewanaTu
Siku moja Aneth akiwa kazini kwake akapata taarifa fulani kuhusu nyumbani kwake.
Taarifa ile inamfanya Aneth aombe ruhusa kazini ili akashughurikie taarif ile ya dharura.
Hakujua, abadani...
@Simon_Machibya Hivi ushawahi msikia MO akiizungumzia Simba club bingwa ikianza? Fuatilia ni mpka Simba ikikaribia kuingia robo ambapo maokoto marefu yapoo😂😂
Kuna site inakusaidia kusaidiwa na matajiri. Wewe kazi yako unaenda pale unasema unataka matajiri wakufanyie kitu gani.
Mfano unaandika, Mimi XYZ sina nyumba naomba mninunulie nyumba Mbezi.
Kuna matajiri hawana kazi na hela zao wanakununulia hapo hapo.
Siye inaitwa Wishtender. Bongo tutengeneze kama hii?
1. Joel Lwaga - Ni neema
2. For my Good - Maverick City
3.Naamini- Patric kubuya
4. No longer a slave - Bethel music
5. Yesu unipendae- dhabihu za sifa