MBINU YA KUTAMBUA UWEPO WA CAMERA ZA SIRI KWENYE HOTEL AU ENEO ULIPO
Watu wabaya wanaweza kuficha kamera sehem za siri faragha kama bafuni au chumbani
Usijisahau 🧠
Fungua threads 🧵👇
“Hili linaweza kushinda tuzo ya goli bora la mwaka duniani.”- haya sio maneno ya semaji au admin, haya ni maneno ya mchezaji wa zamani wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Rio Ferdinand kuhusu uzuri wa bao la Clatous Chota Chama dhidi ya mtani Young Africans.
Basi kuna watu wanaumia 😂😂😂
🎥 @CloudsMediaLive #NguvuMoja
Tayari dunia imeanza kulipost goli la Clatous Chota Chama huu ni Ukurasa wa Total Football kutoka nchini India 🇮🇳 hawakuwepo Mbweni ila dunia tayari imeona na wao wameweka kichwa cha Habari;
“Puskas Contender from the Tanzania Premier League”
Tayari goli limefika duniani na FIFA kazi kwenu kuchakata maoni ya Wadau kuhusu kamba hii ya viwango kuanzia namna tulivyodumbukiza mguu mzima wa Mtoto hapo😀
🚨Seleman Mwalimu amefunguka kuhusu namna Chama alivyomkabidhi ule mpira apige penalty kwa masharti mazito……
“Kwanza namshukuru Mungu kwa kuaminiwa na kupewa jukumu la kuleta furaha msimbazi baada ya muda mrefu…., Chama alinikabidhi mpira lakini kwa sharti moja tu (Kipa wao au mchezaji wao asiuguse ule mpira mpka nipige) na Mimi sikufanya makosa nilichofanya ni kupigilia msumali”
Akamalizia “Chama ni Mwalimu Wangu wa mpira hivyo nilitakiwa nifate maelekezo yake yooote,. Maana amekaa nao wale”.
🗣️Selemani Mwalimu
🚨TALENT INAONGEA ✍️
Mimi Siyo kama wale wachambuzi wa Ifutari waliotekwa na Utamu wa Kuku na biriani wakasema huna Kiwango,Miguu inawajibu,Midomo yao inasonya...
The real baller,Magic touch.
Wakiukuuliza Unapenda nini kwa Anicet Oura waambie zile dribble past defenders one-on-one, or zile cut inside to shoot.Miguu yake inaongea sana kama Muha akibishana.
Wambie zile elite acceleration, technical dribbling, and unpredictabilit zinafanya Nione Mpira ni Kama Professional ya Pale UDSM Lakini nikikumbuka zile Fending za Cloutus Chotta Chama ndipo utajua football is a talent, Anicet Oura is a Real Talent...
Siyo kila Mchezaji anaweza kuwa Inverted Winger, Tanzania Inverted Winger ni Wawili tu na Mmoja wao ni Anicet Oura.
Kama unaandika Mpira basi muandike Anicet Oura the Inverted Winger From Ivory Coast.