It’s weird kuona watu tunaowajua wamefanikiwa kijanja-janja kwa njia SIO HALALI, halafu mnajifanya kutuhubiria namna ya kufanikiwa kupitia njia HALALI. 😂
Acheni unafiki, kaeni kimya. Tunajua vizuri michezo yenu, wakati ni wenu huu 😏
Yaani siku hizi ukisema tu angalau utetee binadamu wenzio na kuwaambia watawala hili sio sawa kesho yake nyumbani kwenu watu wanavaa tshirt za (2Timotheo 4:7). Trying times indeed 🇹🇿