hawa watu hutembea na dawa za panya, kunguni , belts in big cities kama Nrb, Msa ama Ksm . huwa wanalipa rent, fees na watoto kukula aje? huwezi niambia dawa ya panya inaezalipa rent nrb unless kuna panya ingine yenye hatujui๐
Comrade kama uko na laptop na internet na unainama hio ni shughuli ya kujitakia tu. Kuna online gigs mingi unaweza unda some few dollars za kubuy Chapo beans hapo Kwa mathe.Kama sai ukiingia Mercor1 utapata tasks and it's hiring massively utapata dollars. Just apply the right way