Klabu ya Al Hilal ya Saudi Arabia imekamilisha usajili wa mlinzi Kalidou Koulibaly kwa ada ya uhamisho ya euro milioni 23 kutoka Chelsea.
Koulibaly (32) raia wa Senegal amesaini mkataba wa miaka mitatu mpaka Juni 2026 na anaungana na Ruben Neves ambaye ametua klabuni hapo kutokea Wolves.
#KitengeSports
@nyuki_malkia Inategemea Mimi Hali ya kusimamisha imekaake,kama nashindwa namwacha tu aendelee na mahahusiano yake Ili abaki kunipikia na kunifulia nguo,ila kama mashine ipo sawa aondoke tu Mimi nilete chuma kingine๐