@mTusiOriginal ishu mkeo anaweza kupigiwa simu saa 7 usiku mkuu wake aende kazini wewe unaweza kuvumlia au akakwambia week hii siludi we unaweza kuvumilia
@kikomasta Mataifa mengi ya asia yan tabia ya kila raia akifika umri kadhaa lazima apitie jeshin so hapo changanya akili zako watu wapo million 90 naaa kwahyo unazani vita itachukua mda gan kuisha
@fumbokhanJr Hakuna vita inayopangwa kwa siku tano iran ametumia zaid ya miak 40 kujipanga unazani marekani anaamua kumuachia msala mwanae kashaon pale pamoto na matukio ya marekan ndan ya miak 30 nyuma ndo yanayomfanya ata mataif mengine kumkataa kwa tamaa zake ndo mana wanamchora tu
@kalage_jr Kuna muda mungu anakupa changamoto ili iwe fursa kwa wengine ndo hii ya iran marekani alimuua mzee kumbe walimuua mzee wa busara sas wamepewa nchi wahuni
@mTusiOriginal Aiwezi kuwa hvyo hali hiyo inatokea kutokan na majira tu ndo mana unakuta ramadan inafikaga had nov na kingine uislam una calendar yake kabisa tofauti na hii someni qur an jaman mbona imesema kila kitu