Forex trader
Dedicated to empowering Tanzania's youth traders. Sharing insights,
Providing guidance, and
Addressing your trading concerns to help you succeed
@The_PR0F3S0R Wako wengi sana, hilo list ni ndogo. Yani upendo umekua mkubwa sana kiasi cha mwalimu kumfundisha mwanafunzi na mwanafunzi anapata macho ambayo hakupewa na mwalimu na yeye anamfundisha mwalimu na mwalimu anakubali kufundishwa na Upendo, heshima ya bila majigambo inaendelea kawaid
@YYehoyadah@EduTalkTz Na Nyie wacheni kua serious sana na maisha huyu nahisi mmekosea kumuelewa ila hakumaanisha maana ya moja kwa moja amabyo utaiona ukisoma tweet yake nahisi alimaanisha kuiga ambavyo mamlaka zitakuja kukataa hii hoja
MAMBO 16 UNAYOPASWA KUJUA KUHUSU FOREX TRADING
1. Huwezi kuepuka Loss hata kama uwe Guru namna gani. Manage well ur RISKS.
2. Huwezi kufanikiwa kwenye Trading career kama bado unanunua Bots na Signals
3. WEWE MWENYEWE NDIO UNAAMUA UWE PROFITABLE AU UENDELEE KUCHOMA ACCOUNT.
4. Trading inaweza kukupotezea Pesa nyingi, ukaingia kwenye Madeni, ukadhalilika kwa muda, lakini once u make it UTA REGAIN HESHIMA YAKO ILIYOPOTEA WITHIN A WEEK/MONTHS.
5. Kutrade kwa Miaka mingi hakukufanyi kuwa Profitable. Ila kujua unachofanya SOKONI ndio kutakufanya kuwa Bora.
6. Usiingie kwenye Trading na Presha, Ingia kwasababu mwili na akili yako vimefunguka na Viko tayari kujifunza.
7. Forex ina wivu. Ukiigusa itakuhitaji uipe muda wako. Ukiipuuza ITAKUPUUZA.
8. Mtaji wa Forex ni Ustadi (Skills) wa kuchambua Masoko ya Kifedha (Financial Market analysis).
9. Unaweza kuwa Profitable ndani ya Miezi 6 MICHUNGU.
10. Tumia muda kujifunza, kujiongezea maarifa. Ikiwa bado umejifunza sana Peke yako huoni Matokeo, tafuta wenzako undeni Team, peaneni majukumu, fundishaneni. IKISHINDIKANA TAFUTA MENTOR akuvushe.
11. Kama uliweza kukesha usome kwaajili ya mitihani yako ya Elimu yako ya Sekondari/chuo kikuu na bado ukalipa na ada, kwanini USHINDWE kukesha kwaajili ya Ujuzi unaoweza kukuingizia Pesa ambazo ELIMU YAKO YA CHUO KIKUU KUPITIA AJIRA HAIWEZI KUKUPA?.
12. Traders wanaokubali mabadiliko na kujifunza kwa wengine siku zote huwa bora kuliko wale wenye Ego wanaojifungia wakidhani wanajua Kila kitu.
14. SOKO LINATAKA UWE UPDATED ili likulipe, na linahitaji uwe na Fixed mindset ili LIKUFUNZE ADABU.
15. Utaamua kuwa na Nidhamu (Discipline) au UENDELEE KUPOTEZA PESA.
16. Forex ni Moja ya Biashara ambayo inaweza kukupa Pesa nyingi ambazo hukuwahi kuota kama utakuja kuzimiliki. Lakini Maumivu yake katika mchakato wake wa kujifunza HAYAEPUKIKI.