Hii tweet umedhibitisha watu hii nchi tuna safari ndefu Sana kwenye ukombozi WA kweli.
Yaani wafia dini wamekuwa serious mpaka wananitukana nisihame ila wameshindwa kutumia nguvu hiyo hiyo kukemea maovu na kuwasihi viongozi wetu WA dini kusimamia ukweli.๐๐๐
@VodacomTanzania hello Voda, nilikosea kutuma hela nikarudisha Muamala lakini badae mkanipigie tuongee na aliyepokea hela tukashindwa kuelewa mkafunga Mpesa yangu tangu tarehe 28 feb 2025...mpaka leo 5 Marc 2025
Nimekuwa napiga smu ili mfungue laini lakni mnanizungusha shida nini
@Iamfelixtz Ndio maana mzize kaamua kubaki Tz. Team za kariakoo kama unawapa faida mbona ni hela ndogo sana kwao kukupa hii 6m
Hata Prisons wanaweza kumlipa mchezaji.
@FraicoA Habari, asante kwa kuwasiliana nasi. Pole kwa usumbufu uliojisikia. Tunapenda kujua zaidi kuhusu suala lako ili tuweze kutoa msaada bora. Tafadhali tumia DM na tutahakikisha tunapata ufumbuzi wa haraka na sahihi kwa tatizo lako. Shukrani kwa uvumilivu wako.^AG
-Kwa sababu tu una access ya kurekodi studio au una home studio so kwa siku unaweza rekodi hata nyimbo 10.
Haijalishi umeimba nini au umeRap nini humo ndani, kikubwa tu uitwe wimbo hata ukiwa mbaya hata usipoeleweka.
-Kwakuwa tu una access ya ku-upload nyimbo hizo ulizorekodi kwenye digital platforms muda wowote unaoutaka wewe, kwahiyo kwa siku unaweza upload hata nyimbo 20-30 hamna anayekuzuia.
Haijalishi nyimbo hizo utakazo upload zitapendwa, zitapata views, watu wata-stream, zitapigwa radio, zitapakuliwa zipigwe mitaaniโฆ.. kikubwa tu ionekane ulitoaga nyimbo!!๐
Na uwe na consistency ya kufanya hivo kila siku!!
So kwa style hiyo unajikuta kwa mwaka
una
Mixtape 12
Album 8
EPโs 31
Singles 118
Then baadae unakuja unasema mimi ndio msanii mwenye album nyingi kuliko wasanii wote๐๐๐๐
Mimi ndio msanii mwenye Catalog kubwa kuzidi wote๐๐๐
#Quantity over #Quality Over #Impact
Au mimi ndio sielewi kamkubwa? @JabirSaleh
Nieleweshe kwa upole please, hii imekaaje?
Uwe na albums 7 na watu hawajui hata hizo nyimboโฆ..Then uje utambe una catalog kubwa? Una albums nyingi?๐คท๐ฟ
Mnakaa maskani mnaanza kudanganyana OOH UJUE MIMI NINAMKARIBIA PROFESSOR JAY NINA ALBUM 5NOW
๐๐๐๐๐๐
Hebu tuwekeni standard ya hivi vitu bana
Frustration ya kukosa nyimbo zinazofahamika na watu zisifanye muanze kuhalalisha utitiri wa nyimbo zenu ndio kipimo!!
Atatokea dogo toka Njombe huko atarekodi na kutoa album kila mwezi, mwisho wa mwaka ana albums 12 mseme dogo ana albums nyingi sijui catalog kubwa kamzidi KENDRICK LAMAR!!
@Psiteshio1 ๐ ๐ Kuna mtu nilimwambia "Aisee mi issue za chuo zilizingua sikua na hela na gharama zilikua kubwa"
Akasema "Kwanini wazazi hawakukulipia"
Nikajibu hawana hela,,, Akasema
"HIVI INAKUAJE WAZAZI WANAKUA HAWANA HELA,NI JAMBO LA AJABU UJUE EE"
Nilichoka ila nikaamua kujifunza.