Mpuuzi sana huyu zuzu @JobNdugai2 ukisikia kulewa madaraka ndiyo huku. Huyu mpuuzi anataka kuminya haki ya kikatiba aliyonayo Jenerali Ulimwengu kukosoa Bunge au kukosoa Serikali.
@darmpya_ Unapo mtuhumu mtu go straight to the point kavunja sheria ipi? Mkiambiwa ukweli au mawazo tofauti mnaanza kusema mmetukanwa, wapi Father Jenerali kawatukana? Intellectuals huwa wanajibu hoja, ASKARI pekee ndo hutumia bunduki,,, with that being said, Spika kashindwa kujibu hoja.
Spika ZUZU @JobNdugai2 na Naibu Spika ZUZU @TuliaAckson na Bunge lenu la MAZUZU @bunge_tz hivi nani aliiwadanganya bunge hili linaheshimika na Watanzania? Acha upumbavu wako wa kutisha tisha watu wanaposema ukweli kuhusu hili Bunge na udhaifu na MAZUZU wake na Serikali hii
Ahsante sana Shangazi tusiposimama kidete kupinga hizi dhuluma na udhalimu dhidi ya raia wanaotendewa maovu miaka nenda miaka rudi hakuna atakayetoka nchi ya nje kuja kututetea. Nchi yetu ilikuwa inaheshimika sana duniani sasa tuko kundi moja na akina Burundi, Somalia na Sudan.
@FrankBellamy14@Mwalim_Junior Nguvu Ya Mahakama Iongezwe, Upatikanaji Wa Majaji Ubadilike Na Kusiwe na Mtu Au Kiongozi Ana mamlaka Ya Kuingilia au Kufifisha Mahakama, Kesi Sizizo Na Sifa Ya Kuingia Mahakama Zisikubalike Ndani Ya Mahakama
#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi https://t.co/B0MkHi6WH9
Jeshi la magaidi @tanpol chini ya gaidi @SimonSirro na dikteta na muuaji @SuluhuSamia. Watanzania wengi si Wapumbavu dhidi ya huu udhalimu unaofanywa na huyo dikteta na vikaragosi vyake dhidi ya @freemanmbowetz, familia yake, @ChademaTz na Watanzania wapenda haki. @EmmausAskofu
This. Is. It!!!!!!!!!!!!!✨✨✨ I’ve been dreaming about bringing these One Night Only shows to YOU!!
We’re taking over The illustrious Apollo in NYC TONIGHT 11/11!! 🌘
These shows are so special to me! Everyone will be different. I’m so excited to see you!
#Picha Rais wa JMT Mhe. @SuluhuSamia akitembelea Mji mpya wa New Cairo Administrative City Jijini Cairo nchini Misri.
Mhe Rais Samia yupo Nchini Misri kwa siku ya pili akiendelea na ziara ya Kiserikali ya siku tatu kufuatia mwaliko wa Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah Al Sisi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa picha ya pamoja na Wafanyabiashara wa Misri baada ya kuzungumza na Wafanyabiashara hao leo tarehe 11 Novemba 2021Jijini Cairo nchini Misri
Solution ya kwenda kwenye parking Gerezani ni SHORT TERM, mpaka pale jengo lao jipya linamalizika. @ummymwalimu itabidi uwafikirie Hawa watu na kama unashindwa kuwapeleka kwenye parking waeleza sababu.
Lakini ziwe “REASONABLE”
WaTZ in general ni REASONABLE!
Kuna Tatizo la “Trust Deficit” na “Communication Deficit” baina ya Wananchi na Serikali. Tujiulize hivi:
Kama Serikali ilikuwa inaongea na hawa wafanyabiashara kwa UWAZI, HURUMA,HAKI na KUWASIKILIZA wangenifuata mimi?
Kwenye maendeleo ya wingi wasiumizwe wachache!
@ummymwalimu