@EsirEid@JohnNgutiCDM Uelewa wako wa Tanzania mbona nautilia shaka kama umekuja Leo hujui mikoa na ni wakina nani haswa wenyeji wa hiyo sehemu unapozungumzia Arusha na uchaga ni vitu tofati mikoa wa Arusha wenyeji wo ni waarusha na sio wachaga wachaga wanatokea mkoa wa Kilimanjaro na sio Arusha
@KennedyMmari@KennedyMmari Ukipata ubumbe tuombee bwala la maji kwa kilimo Cha umwagiliaji wananchi wa Kata ya kashashi Kijiji Cha Kirisha ahadi zimekuwa njingi miaka nenda rudi
Be Different.
In 2011, I joined medical school with dreadlocks. That was Different! especially in Uganda.
It meant nothing then, besides me implementing my desires without a care in this world....
It was just the start. I've later made very radical decisions in my life, and these are what have made the difference in my life, and I don't care what the world says.
Be Different or Be like everyone else.
Dunia ni uwanja katili kwa watu maskini. Dunia haiwezi kukuonea huruma kwa sababu wewe ni maskini. Usiuzimie na kuhududu umaskini. Usikubali kuitwa mnyonge. Ukiwa masikini ni ngumu sana kuwa gentleman. Hakuna upendo kwenye umaskini. Hauwezi kumfungulia mpenzi mlango wa daladala.