@Bycola3@HecheJohn@peacemaker_tz Mbona haina uhusiano na wa Moja Kwa moja na makamu๐ค kwanza haonekani, pili linasikika jina tu ambalo naamini hamiliki yeye peke yake Tz nzima, ukitumia akili kidogo tu utagundua ni muendelezo wa njama za kumchafua ndugu makamu na sidhani hiz mbinu zitamtikisa ata kidogo๐๐