Msaliti ni Msaliti Tuu na Hana Rangi ya Kujitambulisha, Huyu Diwan Kessy (CHADEMA-Arumeru Mashariki) Aliyejiuzulu na Kujiunga CCM, Jana Alikuwa Kwenye Chakula cha Jioni Kilichoandaliwa na Mbunge kwa Ajili ya Madiwani.
RC na DC wamewaita WATENDAJI wa kata ambazo tunarudia uchaguzi jijini MBEYA na kuwaambia wahamishe FAMILIA zao majumbani kwao kabla ya kesho tar 23 siku ya mwisho kurudisha FOMU! Wamepanga kuwatumia KUHUJUMU ili CCM wapite bila kupingwa. Nawasihi wasikubali kwani ni HATARI!