@Mzeewajambia Je umeelewa mashabiki waliotoka ndani na nje mbona hamuongelei kipengele kama kuna kipengele kinachosema usipeleke timu uwanjani ukizuiliwa kufanya mazoezi hamuoni hapo?!!!!!!
@shaffihdauda1 Ukiwa kama mwandishi na mchambuzi naomba nieleze kanuni inayosema usipeleke timu uwanjani baada ya kutofanya mazoezi siku moja kabla ya mechi,je timu kama za dodoma jiji au tabora united zinapokuja kucheza na simba au Yanga huwa zinapewa nafasi hiyo ya kufanya mazoezi ?