Kuna mtambo tuliweka pande ya Two rivers wale jamaa wamenipea refferal ya nguvu namna atari sana kwa NGO. Na unajua NGO wanalipanga yote once,these pipo have liquidity like nonsense! Hapa mambo ikienda msuri vijana mimi ata nawesa hamia karen. Contract ya million kumi na moja deposit ikiingia tu namna hii disemba inanipata South Africa,niko tu pale naskiza jazz, mziki wa matajiri,na sigara size ya kifagio,inaitwa cigar! sportsman nawachia mafundi ya maji. Bibi niingise gumbaru school asome ata homescience,ndio ajishikilie kabla nirudi kutoka malishoni
Mimi nipotee kidogo kwa hawa wanaitwa baddies,kama hii inaitwa eve maina sasa. Huyu kwanza nalipia flight private jet mpaka Johannesburg. Kasi pale itakua ni kuswaga,naswaga yeye kama Eurobond! Akisema aki polo im tired,natwanga yeye 100 sausand,ngufu inarudi. Kabla january ifike ako na mimba ya miesi tatu,eih! Akiamungu apa mbele mambo inaenda kuchemka. Mungu baba hii kampuni ya Keensight tumeiweka mikoni mwako,manake ni wewe uliandika na ukasema man shall not live by bread alone. Khabusie!
The reason i moved from websites, to systems... ni ju nlirealize... afadhali ukue ata na meeting moja ama mbili kwa wiki, which helps you secure money for the next quarter
Kuliko ukue na meetings ishirini na clients wa kipuzi. Na wote wanataka kubargain 50k. Na watakuita meeting
@kilundeezy judging from the video, mtu anachukua hio video ni expert wa videography . theres no random person mwenye anaezarecord video ivo, pure clout bullsh**t