@ITVTANZANIA Au baba Moureeni toka Bukoba Kashai #hapana sio hujuma ila hujuma nyingine ufanywa na viongozi wa serikali kwakua uwa kuna bahadhi ya viongozi hutoa kauli tata kwa wananchi kwa kusema ivi mlichagua vibaya ndio maana amna kitu fulani kwaiyo hujuma nyingine ufanywa na viongozi
@ITVTANZANIA Au baba Moureeni toka Bukoba Kashai #Ndiyo naaamini zimejipanga vyema kukabiliana na janga ili kwakua walimu wako makini kuakikisha wanafunzi wao wanakua na afya nzuri na himara
@furaha_nzunda Duuuuuuh kumbe ndivo wanavotufanganya na kutufanya sisi wajinga but kwa sasa kutokana na matendo yanayoendelea tushajifunza na kuelevuka
@ITVTANZANIA Au baba Moureeni toka Bukoba Kashai #Ndiyo inaelewa tena sanaaaaaa sema kuna bahadhi ya watu wachache ndo wanaokiuka na kukahidi elimu inayotolewa juu ya dawa izo na ndio wanaosababisha vitendo ivyo viendeleee