Nipo kwenye kutafuta watoto ambao wazazi wao hawana uwezo kuwalipia shule. Lakini pia kina mama ambao wanahitaji uwezeshwaji ili waweze kufanya kazi walee familia zao. Namaanisha wale wa kipato cha chini kabisa ambao hawana hata elfu moja ya kuwasogeza.
@OR_TAMISEMI
MAAFISA WATEKNOLOJIA LEVEL II - MAABARA (Health laboratory scientist II), Wamesahulika kwenye ajira 7k+ za Afya mlizozitangaza.
Kama mlivyo fanya Kwa MD, NURSES, PHARMACIST Tunaomba pia mfanye hivyo hivyo Kwa Lab. Scientist ili kuleta ubora wa huduma kuanzia chini