Hii ni safari ya kuanzia September mwaka jana.
Tumetumia miezi kumi kutengeneza Huu msingi FROM THE SCRATCH (Yaani kutokea Beginers level). So nimemfundisha huyu From what is Forex mpaka kufikia kwenye Matokeo haya.

@Roma_Mkatoliki@JohMakini Kwa ukubwa wa wote wawili sio vizuri mkirushiana maneno. At this point tujengane, tuungane panapo bidi.
Kama kuna bad blood , basi mikausho tu ki hiphop kila mmoja afanye yake.
@kijana_wabusara@IamGabby_01@Thereal_taivina Lazima kuna sababu kwanini hakutaka kujibu, labda hapendi somo lolote na hataki kuongopa, au hayuko tena shule, sasa akiongea si ndo ataonekana anafundisha watoto wasipende shule.
@kijana_wabusara@IamGabby_01@Thereal_taivina Elimu kuwa binafsi au laa, ni utashi wa mtu mwenyewe. Mwl Nyerere alikuwa mtumishi wa Umma na alichagua kutoweka wazi CV.
Pili sio lazima kujibia kila aunacho ulizwa. Tujifunze kuheshimu maamuzi ya watu.
@FridaAmani Fify kuna ngoma ya @Njerae inaitwa 'Aki Sioni', it's a master piece. Ukipata muda kasikilize, sijui kwanini nakwambia hili, ila nadhani utapata kitu pale. With love.