I tested 12 AI writing tools for academic papers.
Only 5 passed journal editorial standards.
Here's what editors actually accept (and what gets you rejected):
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Tuzo Maalum ya ‘Power of 100 Women Award mara baada ya kukabidhiwa Ikulu Jijini Dar es Salaam 08 Julai, 2025.
WANACHAMA MILIONI 13 - NI NGUVU, NI SAUTI, NI USHINDI!
Kwa mara ya kwanza katika historia ya siasa za nchi yetu, chama kimoja, chama chetu – CCM – kimesajili wanachama zaidi ya milioni 13 kwa mfumo wa kidijitali. Hii si idadi tu. Huu ni muungano wa dhamira na silaha ya ushindi kwenye Uchaguzi Mkuu.
Katika mchakato wa kuchukua fomu, tumeona ari. Tumeshuhudia maelfu wakijitokeza kwa heshima na uzalendo. Leo, tunasema kwa fahari: CCM ni zaidi ya chama cha siasa, CCM ni muungano wa watu wenye dhamira ya kusukuma mbele gurudumu la Maendeleo ya Taifa letu.
Chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, tumeandika historia pamoja, wanachama milioni 13 ni nguvu, ni sauti, ni ushindi.
Kwa sauti moja, tunasema;
OKTOBA... TUNATIKI!
#IlaniYaUshindi2025
#OktobaTunatiki
@chiefodemba “We umepewa jamani, We umepewaa”….Hii sehemu kila nikimsikia mzee wa Ubwabwa nacheka sana. Interview nzuri, inazungumzia mambo muhimu katika hali rahisi. Lakini ikumbukwe taasisi kuweka bajeti za posho na chakula kwenye vikao kazi rasmi siyo rushwa ama kula pesa za Wananchi.
@LarryMadowo Yes, Madam President yuko right. Ifahamike kuwa mahusiano ya maisha ya kawaida kati ya Watanzania na Wakenya ndiyo yenye muingiliano mkubwa sana katika ukanda huu,na pengine hata ndani ya bara la Afrika. Tusiruhusu Dunia ya mtandao kuweka hali ya taharuki baina yetu. TUHESHIMIANE