@YerickoNyerereT Hivi labda km ni mm Nina ushamba sijui kutumia pesa hivi kwa jinsi @HecheJohn alivyo busy hivyo muda wa kula ma billion anatoa wapi?? Binafsi Kuna wakat nakuwaga busy sikumbuki hta kula chakula infact nasahau hadi km Nina familia je? Heche sio zaid?? Achen bhas kumsingizia
@privaldinho Nikisemaga Hawa kaka zetu ni matapeli mnakataa nini hiki ??
Mtu amee erectishaa rombo Toka juzi kama lafa anajidai hajui what happened October 9 zama kafa you