#PICHA Maelfu ya Watanzania wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo usiku wa kuamkia leo wamejitokeza katika Viwanja vya Leaders Kinondoni Jijini Dar es salaam kufanya mkesha wa maombi ya kuliombea Taifa la Tanzania, Rais Dr. Samia Suluhu Hassan na Watanzania wote katika kuelekea Uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ndiye alikuwa Mgeni rasmi katika mkesha huo ambao uliongozwa na Viongozi mbalimbali wa kidini wakiwemo Maaskofu, Wachungaji, Mitume na Manabii mbalimbali. #MillardAyoUPDATES
@Issaabally28@ummymwalimu Sasa kama tangu uhuru mkoa wa Tanga hujawahi kuwa na upinzani lakini Cha ajabu ni kwamba ndio upo nyuma kimaendeleo sababu viwanda Karibu vyote vimekufa. Kwa hiyo tuwalaumu chadema au ๐๐ inasikitisha sana
Kipindi cha nyuma tulikuwa tukihangaika kutafuta mabinti ambao ni bikira na hatuwapati.
Sasa hivi tumeacha kutafuta mabikira tunatafuta wasio na watoto, yani game ni gumu balaa.
@MsigwaGerson Mkuu habari za majukumu? Samahani mbona uwanja wa ndege wa KIA umesahaulika sana wakati ni Moja ya mradi unaoliingizia taifa mapata makubwa na ndio lango kuu la watalii?
Ni bora nguvu zilizowekezwa uwanja wa Msalato zingehamishiwa KIA, muonekano wa uwanja ule ni aibu kwa kweli.
@max_zitatu Ni kama vile uwe unapiga demu fulani alafu kuna mshkaji na yeye anataka kujiweka kisa kaona wewe umefanikiwa kumpata basi anachukulia easy..
@millardayo Sasa si uonevu huo watu walipiga pesa za EPA Mabilioni kwa mabilioni Lana bado wanadunda mpaka leo. Huyo bangi tu anafungwa miaka 90+ Na anajitafutia pesa zake kihalali ๐
@Labella_Mafia95 Sheria za CAF unazijua endapo itabainika kuna suala la rushwa katika upangaji wa matokeo. Alafu ondoeni kasumba kwamba kila mechi Yanga anayoshinda amenunua, huko ni kutokujua mpira.