@Advocate_Jebra Unajificha lakini kutwa upo mitandaoni sasa unajificha nini mbona wewe hujifichi au kina Martin mbona hawajifichi mbona wewe upo hapa hapa na kila siku unakosoa tena hadharani mbona hujifichi
@KatibaMpyaTz_ Sasa kama wewe unajuwa kikosi cha utekaji kiko Nairobi Wiki ya tatu kwanini usingemstua twaha kaishi kwa tahazari isijekuwa wewe ndio umemuuza maana nyinyi hamchelewi kuuza kwa njaa ya pesa halafu huku mkajifanya serikali ndio imemteka mtu