Wewe sio HUZUNI
ukijikuta mwenyewe unasema Nina "HUZUNI" jua unakosea,Hakuna hata mmoja alishakuwa na Huzuni
Sababu hisia zako sio wewe ila zinaweza kuwa wewe,lakini zitaondoka kama mawingu Angani
FIkiria wewe ni jua 🌞 na jua siku zote liko pale haijalishi ulione au usilione
🏃♂️ Body of an athlete
🧠 Mind of a strategist
🪖 Discipline of a soldier
👑 Vision of a king
🌱 Patience of a farmer
🦁 Confidence of a lion
✍️ Heart of a poet
🧘♂️ Focus of a monk
🌟 Aura of a legend
@NyandaAmosi Mzee wangu hii kitu ya Distribution wahindi wako vizuri mnooo...yanii mambo ya matangazo hawanaga utaikuta Poduct kwako na hujui imefikaje