@JumaMkuza @MdeePaschal Ni kweli ni cheo sio jina. Ila kwa sasa ukitaja farao (Firaoun) ni yule ambae aliuwa watoto wengi wa kiume ili kulinda ufalme wake na ndio aliyepambana na Nabii Mussa
@MankindUwezo Kuhusu fine kama 1M au 2M nahisi watakuja wengine wenye ujuzi zaidi. Mimi nilifikiri hata faini nazo zinafuatana kumbe sio.
Hata mimi nimepata kujifunza kwenye faini kutoka kwako
@MankindUwezo Apo sijui. Ila kuhusu kifungo ni uhakika kikiwa kinaambatana inamaanisha akianza jela anaanza na adhabu zote kwa pamoja, ya kwanza ikimaliza baada ya miaka 2 atabakiwa na mwaka 1 kukamilisha mitatu wa ile adhabu ya pili ambayo ni miaka 3