UCHANGUZI: NGONO ZEMBE INAHARIBU BAHATI NA FUTURE YA WATU WENGI.
Ukitaka bahati yako na mkondo wako wa pesa uanze kuyumba basi itakupasa uanze uzinzi/Uasherati. Yani hiyo ndio mbinu namba moja kabambe ya kujitia matatizoni...๐
LEO NATAKA UMKUMBUSHE MWANAO KUWA "STREET SMART"๐
Najua hunielewi๐ ila utanielewa Tu usikose kusoma mpaka mwisho...๐
Re-Tweet kwanza iwafikie wengi tuelimike..
Twende sasa uone Pesa inavyotengenezwa,
kwenye hili life jitahidi kadri uwezavyo uwe STREET SMART๐ช, maisha ya.๐