@masoudkipanya Unajua hii kitu ukipata hata financial support ya serikali au wadau(matajiri) wakatia mzigo we ukabaki na idea(Michoro) naiona kampuni kubwa sana ya magariπ€ congrats brother bora tumeishi kushuhudia ulichofanya.legacy yako haitofutika
@rugilandavyi Kuna upande mwengine kuna watu hio quadratic haina maana na hizo scientific equations maisha yanaenda π€£, kwahiyo yuko sawa kama wewe unavyoona upande wako ina msaada, tunahitaji early specialization na kuboresha mitaala iendane na maisha yetu TZ