@PambilaMailon@moshijnr Woga huo ....hii game haihitaji woga, tumeishaingia fainali lazima tukacheze mpira na siyo kutegea. Kama uliqngalia game za robo na nusu fainali utagundua hizi game hazina ugenini maana mpira unachezwa
From the conclusion of the report after the inspection at the Benjamin Mkapa Stadium:
โDespite the existing problematic and blocked drainage infrastructure, slope problems and the 13 cm thick impermeable organic layer under the grass, Benjamin Mkapa Stadium has reached international standards where matches can be played.โ
โAs Reform Sport, ๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ for playing football on the Benjamin Mkapa field.โ
#africanfootball
#nguvumoja
Taarifa rasmi kuhusu uwanja wa mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika itatolewa baada ya mchezo wa awali utakaochezwa Jumamosi Mei 17, 2025. #WenyeNchi#NguvuMoja
@Dominicksalamb1 Binafsi nitailaumu sana TFF pamoja na serikali kwasababu za kushindwa kuudhibiti uwanja wa taifa Benjamin Mkapa; nitalaumu kwakuwa wameuacha sana uwanja wetu umeanza kuchakaa hata zaidi ya Estadio du Martires wa Kinshasa DRC. Na engine itaweza kusababisha Simba ishindwe kubeba
Huyu Dada kajiunga Chadema Jana akitoka CCM.Leo Yuko Serengeti anakiwasha๐ฅ๐ฅ
Naomba TUPIGE Repost za kutosha ili madalali wa Serikali iwafikie๐ช๐ช๐ช๐ช๐ช
DUA condemns, in strong terms, the arrest of @amanigolugwa and other colleagues in @ChaDeMa who were traveling to Brussels to attend the IDU Forum. The continual oppression of the opposition party in Tanzania is worrisome and should be dealt with promptly.
#StandwithCHADEMA