@goligani@George_Ambangil Ambangile hapa nampinga kabisa kazingua,Zimbwe sio mkubwa kuliko Simba,cha msingi hapo viongozi walete tu mchezaji ambaye ataziba tu pengo lake lakini kusema Simba wanabomoa timu ni uongo,kwan kina Ronaldo kipindi wanaondoka united ilikuaje lakin mbona united iliendelea kiwika.
@Eric__Bernard Inawezekana kabisa kwenye football, lakin lazima Chelsea afanye kazi kwel kwel hawa jamaa wapo vizuri mno kuanzia defense yao ipo vema,hawaruhusu magoli kirahisi na halafu wao wanafunga sana magoli.
@GilbertPaul095 Yupo sahihi kwa performance ya Pacome msimu uliyoisha ilikuwa nzuri sana mpaka timu yake kushinda kombe. Hivyo mchango wake ni mkubwa sana kwenye timu yake, apewe tu tuzo hiyo