"Aliyebuni saa na kalenda naye kaumbwa na Mungu iweje basi subira yako kwa Mungu uifungamanishe na saa na kalenda aliyotengeneza mwanadamu." ~Togolani Mavura.
@eastafricatv This is not diss track and it's not directed at Papa Jones. Khaligraph is doing good, but to be honest @ProfessorJayTz is the best all time rapper in East Africa(in my books).
Ni kitu gani hapo unataka Mungu akubariki nacho kabla mwaka huu haujaisha?
1. Ajira
2. Biashara
3. Ndoa
4. Amani kwenye ndoa
5. Mtoto
6. Nyumba
7. Gari
8. Kiwanja
9. Kupona maradhi
10. Kila kitu amenibariki
Ukiwa bado ni mwanafunzi au bado unategemea wazazi, hakiksha unawaombea sana katika utafutaji wao.
Kama tayari umeshafanikiwa hata siku moja usije ukawasahau waliokulea.