@MsigwaPeter@freemanmbowetz@chiefodemba kama mbowe anaona leo kuondoka ni fedhea IPO siku atajikuta mwenyewe katika chama na atakizikia pale machame moshi vijijini mwambie aache urohoo wa madraka @godbless_lema tutaelewana tu muda hutoa majibu sahihi
@godbless_lema Mr @godbless_lema am telling for the last time tell Mr @freemanmbowetz mbowe that he did a lot for the party and the country at large but now it's his right time to let Lisu to rule the party Musa wasn't reach promised land isn't him
We have to move on without him Now not 2019
@godbless_lema kama mkimruhusu mbowe afanye chadema ni Mali yake hivyo atakuwa mwenyekiti basi mmeamua chadema ifike mwisho iwe kama ilivyokuwa nccr tlp cuf
Itaanguka na kusahaulika na uhakika itagharimu miaka mingine 30 kupata chama kingine kitakachominiwa na wananchi
@MariaSTsehai@TunduALissu kama mbowe ni msikivu akae pembeni Lisu apokee madaraka
Aache tabia za Robert Mugabe na Paul Kagame
We need new striking force not @freemanmbowetz political agent of the state or business man of politics
Mbowe Must Go
@mdudenyagali kwa lugha nyepesi mbowe asijifanye yeye ni Mungu wa chadema akijifanya hivyo alipo Lisu tutakwenda tumechoka na udalali wake wa kisiasa shuuuuuubamiti
@MariaSTsehai@TunduALissu ifike mahali mbowe apumzike
ameisaidia sana chadema ila sasa tunaitaji new force in political arena
please mbowe usiwe Robert Mugabe au Paul Kagame
Ibrahim Lipumba
Step aside ubakie mlezi tutakuheshim @freemanmbowetz
Karama ya uongozi unapewa na Mungu - huwezi kulazimisha, kulea au kupoka uwezo huu!
@TunduALissu doesn’t even try hard, hana utajiri, hana familia yenye jina kubwa lakini katokea kupendwa, kuaminiwa na wananchi tokea akiwa mwanaharakati! Hata washindani wake kisiasa wanauliza “Kwani Lissu anasemaje?” - hii ni karama na anatakiwa aitunze na aendelee kutumikia wananchi selflessly!
Ila kama wewe na roho yako ya kwa nini ukifikiri unaweza kuziba nyota na karama ya uongozi ya mtu utaishia kuaibika - vitabu vya dini, historia imejaa mifano ya kutosha
Hata ukijaribu kumwua mtu kama huyu unakufa wewe! Best thing you can do is support him and keep it honest with him - abaki katika njia sahihi!
#NiYeye
Niweke wazi pasipo kupepesa macho. Sipendi UNAFIKI. Ninamsapoti Adv. TUNDU A. LISSU kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Lissu ni kiongozi wa mfano & watu wa aina yake hutokea kwa nadra sana. Niwasihi sana wapigakura, msifanye SIASA kwenye hili. Lissu ndiye mtu anafaa kwa sasa.
@Twaha_Mwaipaya mbowe acha uchu wa mamlaka juu ya chama na wanachama ridhika kwa miongo miwili uliyokaa embu pisha
Hivi ukifa ghafla chama kitakuwaje ka wew ni king'ang'anizi
acha kuwa kama Robert Mugabe Paul Kagame
Chadema sio mali yako ni wanachama
Tunakupenda ila imetosha @freemanmbowetz