@420Cousin Hata wakati wa kampeni mambo yalikuwa hivyo hivyo, pikipiki, baiskeli, magari ya njano na kijani kila pahala,lakini kilicho jiri kila mtu alibaki anashangaa. Sasa endeleeni kuziba shimo la panya kwa kipande cha mkate.
@privaldinho Ndo maana nchi yetu haiendelei, ni kwasababu ya mambo ya kijinga kama haya, yaani karne hii ubaya au uzuri uwe mjadala wa kitaifa?alafu mambo ya msingi yanapitwa kama hayapo vile.
@KindMtaasisi Hivi ni kweli Tanzania ya sasa ni ya mshikamano kama usemavyo? Hivi ingekuwa ya mshikamano watu wangekuwa wanafurahi na kusheherekea msiba pindi kiongozi wa nchi akifa?mtoa post hebu jitafakari.
@clementmanang Mimi kama mwana chadema lialia ningeomba viongozi wetu wa chama au wapenzi na mashabiki wa chadema tungeacha kuwaongelea sana hawa watu, tunapozidi kuwaongelea tunawapa la kusema juu yetu.