@77_bamba@rweyendera_@Iam_Malunguja Nidhamu na shule. Madaktari wa Sokoine wanapenda kufundisha ikitokea case rare lazima muitwe tuna manage na kui refer. Salute wanangu wa Mtwara na Masasi
@77_bamba@Iam_Malunguja Hahaha kiwanja cha Lindi Sec. Na sisi tumekuja mtwara sana. Sikutamani kumaliza chuo maisha ya kusini na ile geografia nlivipenda sana
@makumbawaleo_5n@MiriamMkanaka Hii ni kweli bro, nikishikaga hela nyingi lazima nim suprise janja. Kuna ka feeling huwa nakapata nafurahi kuona janja ana furaha mana nikikumbuka nlivyosoma kwa tabu sitaki ateseke sana