@kalage_jr Uyo jirani ni mm apaโฆ naseti playlist yangu mangoma mujarabu ya lavalava kipindi anaanza muziki afu namalizia kwa kuwachapa na jux kipindi yuko na vanessaโฆ oya majirani zangu bila mimi wikend zao aziendi
Anko
"Nilishawahi kuona Funza Kwenye Embe, Nikamwona kwenye Papai.
Lakini Sijawahi kumwona kwenye Limao.
Wakati Mwingine Kuwa Mtamu Sana Ndiko Kunakokufanya Uliwe.
@MkulimaKante@DanfordTun96400 Hakuna cha big deal wala nnโฆ ulkuaga ni upuuzi mmoja wa kidwanzi sana wazazi na siwez kuufanya kwa wananguโฆ niliwai nusurika kuuwawa na viboko kisa walim wanafamiana na mshua