@FKihamu Andika vizuri kiswahili bwana Farhan, “mwenye ako na picha” “mwenye ako nayo” kitu gani hiki? Umeandika kama mshabiki wa mpira lakini ukumbuke wewe ni mwanahabari na unafuatiliwa kwa ukaribu na jamii na unaaminika hii itaifanya jamii ione ni sahihi. Asante!
@EduTalkTz Tatizo ni rangi nyeusi na kiwango kikubwa cha mafanikio kifedha na kisanaa (mziki na uigizaji) kuwazidi waliojimilikisha haki ya kufanikiwa.
@IAMartin_ Mama yuko composed kwenye level zingine kabisa.
Kuna vijana wa sasa wenye elimu za vyuo vikuu ukimsimamisha pale kujisemea au kuisemea jamii yake atazungumza upuuzi tu.