@SuluhuSamia Hongera sana. Rais wetu, kipenzi chetu, mfariji wa amani wetu, TUNAKUPENDA SANA MAMA,OMBI LANGU kwako mkuu ikikupendeza mrudishe Magoti Petro Ikulu, alikuwa msaada sana kwa vijana hasa watu wenye ulemavu, tulijifunza mengi kutoka kwake.
Kama alikosea tunamuombea msamaha.
@Jambotv_ Kagasheki wewe mzee Kaa utulie Uongozi ulipewa muda wako umeisha,Kaa nyumbani Lea wajukuu ACHA makonda arudishe Imani ya wananchi kwa chama.Tulia kabisa kama unanyolewa, kama umetumwa imekula kwako.
@ortamisemitz@AngellahKairuki Angalieni na miaka kuna mtu kamaliza chuo 2017 anasota na bahasha wakati serikialini mwisho miaka 35 inamaana wametoa sadaka elimu yao, nendeni kwa system
@SuluhuSamia *AFYA-kuna utafiti unaonesha kuwa watumishi wa hospitali kuanzia ngazi ya hospitali ya taifa,mikoa, wilaya na angalau vituo vya afya watumishi ni sahihi. Lakini ZAHANATI nyingi zinaendeshwa na medical attendants😭Hazina WAGANGA, matibabu feki+UMASKINI =VIFO😭😭😭@SuluhuSamia.

@SuluhuSamia Wewe unashukuru kuwa Rais, wananchi huku kijijini kwangu tunaumia kwa kukosa madaktari kwenye zahanati ya kijiji chetu. Matibabu yanatolewa lakini wauuguzi wanadai hawapokei Mgonjwa akiwa amezidiwa maana hakuna waganga. Hivi hili nalo hulijui kweli???
@SuluhuSamia Juzi nimetoka zahanati ya hapa kwetu, tunaambiwa hawatowi Huduma kisa hamna Daktari, na kupelekea kifo cha Mjomba wangu, !!! Kwa nini we we mama usiwaajili hawa watu wengi??? Hizo pesa,za kukopa zinatusaidia nini sisi kama hatupati Huduma ???
@SuluhuSamia Vijana wanapaza sauti kuhusu AJIRA,AJIRA,ajira, lakini mnaziba masikio kwa makoti ya uongozi, halafu viongozi wanaigiza eti kuwasikiliza Vijana wa makundi maalumu!!! Tutafika tumechoka sana hii Tz.
@ummymwalimu@wasafitv@wizara_afyatz Zahanati nyingi sana hazina waganga,lakini kwa serikali kwa kujinasibu hamjambo!!! Afya ya mama itaboreka vipi wakati hakuna wataalamu huku vijijini???
@SuluhuSamia Vijana wengi wasomi hawana furaha na maisha yao maana hawajui kesho yao,wanazeekea mitaani, wanakufa bila AJIRA, hata siku zao za kuzaliwa hazina maana kwao!!! Mioyo yao inavuja damu huku ikiutazama utawala wa Tanzania kwa unyonge sana!!!!