Don Williams na Kenny Rogers magwiji wa Country Music hawapo tena duniani. Jana binti aliyezaliwa kwenye familia ya watoto 12 ndani ya nyumba yenye chumba 1, Dolly Parton naye ameaga dunia. Dolly ameacha legacy kubwa kwenye industry ya muziki wa Country, hakika atakumbukwa sana.
Ni faida sana kuwa na MO Dewji as Taifa let's keep him and push him support him too
FF Tanzania🇹🇿
HE'S FFT💪 LET'S US BE TOO IN OUR AREAS ON OUR LAND AND OUT OFF
In a life there are some people have started ten years ago, five yrs, one yesterday and today why can't you start today!!!
A living Motivation from G,J Masoko,a Marine Engineer
Ukiacha yote yaliyowapata, ila Iran imejifunua kwa dunia na watu ambao walikuwa hawaielewi sasa wameitambua vizuri. Iran sio nchi nyepesi kabisa, hawa jamaa ni watata, Iran imejengwa kwa uongozi na mipango madhubuti, pia imejengwa na watu wataalamu wanaoipenda nchi yao.
@RobertGreene 1. Working with Emotional Intelligence by Daniel Goleman
2. The 5 essential people skills by Dale
3. Public Speaking for Success by Dale
4. Boundaries by Cloud &Townshend
5. The Art of Inner Peace by Sanders
6.. The concise laws of Human Nature
7. The 48 Laws of Power
Kilimo cha mpunga ili uweze kutengeneza faida nzuri inatakiwa angalau uwe na uwezo kulima heka 50, ambapo katika heka 50 utavuna angalau gunia 1000 za mpunga. Ukiweza kuhimili hii formula automatically unakua umeingia kwenye mfumo wa kujijengea ukwasi endelevu.