Rais @SuluhuSamia kama kweli anataka kushirikiana na @ChademaTz na kwa nia njema, basi atakuwa amefaulu kwenye siasa.
Nchi hii ilipofikia huwezi kuitenganisha na @ChademaTz kama una nia njema.
"Nilipopata mwaliko siku ile ile nimetoka gerezani, nikathibitisha nitakwenda. Kamwe sikuruhusu uchungu na maumivu binafsi vinipe upofu na kiburi cha kutokuiona heshima niliyopewa na Rais [Samia Suluhu]." - Freeman Mbowe katika kongamano wa BAWACHA, Iringa
“Mapendekezo katika majukumu ya Tume ya maadili yanakubaliana na maoni ya wananchi waliotaka kuwepo kwa utaratibu utakaokuza, kuhifadhi na kulinda haki za binadamu.” – Warioba #KatibaMpya#WenyeNchiWananchi
@RoyalReporter It's about time The Duchess of Cambridge was recognised as a workhorse and not a clotheshorse - it doesn't matter what she's wearing. What's important is what she's doing, and why, she's in Denmark
Mhe. @TunduALissu alikuwa Adui Mkubwa kipindi Cha Mwendazake,
Ikapikwa mipango na watawala Wamuuwe, Ubaya wake Ulikuwa Ni kutetea Raslimali za Nchi, Demokrasia, na Utawala Bora,
Ashukurewe Mungu Asiyekuwa na mawazo ya kibinadamu Hadi Leo tunaye, na baadhi yao wamelala Mauti,
@Statesman_Jr@MuggyMaggy Kama tumepata mawakili zaidi ya 20 wanaupiga msingi sana.Labda timu yako imelemewa wa nataka pose.Hawezi kuomba msamaha kwa Kisa ambalo hajatenda!
@goligani@GHMFelix@MichaelMwebe@sirmwaja@TitoMagoti@Chepezi Ajabu baadhi ya nao wanaojiita wachambuzi wanatangaza michezo ya kubahatisha tukiwa hizi wa nataka Ku influence result for interest of paymasters wao watapisha hawana moral authority Hawa!
Tunaomba support ya kuwachangia wanasheria wanaosimamia kesi ya Mh. Freeman Mbowe
Fuata link sehemu yoyote ulipo duniani na kuchangia kama ishara ya kutetea utawala wa sheria, democrasia na haki za binadamu. Changia kadri utakavyoguswa
#MbiweSioGaidi https://t.co/IlO35M30K4