We express strong condemnation for the detention and deportation from Tanzania, of several respected Kenyan leaders including former Chief Justice @WMutunga and @MarthaKarua, SC. Others affected include renowned Kenyan activist Boniface @bonifacemwangi and @AAgather from Uganda. They had travelled to Tanzania in a spirit of solidarity to observe court proceedings involving Tanzania's opposition leader Tundu Lissu, who stands accused of treason.
Such demeaning and humiliating actions against high profile citizens of a partner State raise troubling questions about the relevance of the East African Community, as they contradict its founding values of democracy, human rights, and mutual co-operation. As people who share deep historical ties, the unity of East Africa must be built not just on infrastructure and trade but also on a shared commitment to justice and freedom for all. All citizens, leaders, and institutions of goodwill across the region must work together, with one voice, against the growing repression in the region.
BALAA LA TUNDU LISSU LEO MAHAKAMANI
Wakili wa serikali: Mshtakiwa alichapisha taarifa ya uongo YouTube kwamba Rais anaiba uchaguzi.
Hakimu: Lissu kweli si kweli
Lissu: Mh. Hakimu Rais ndio mwenye mamlaka ya kumteua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, Waziri wa tamisemi mwenye mamlaka ya kusimamia serikali za mitaa kwahiyo kusema hivyo si kosa..
Wakili wa serikali: Mshtakiwa alisema majaji wa nchi hii hawatendi haki, wamekuwa na mambo ya kiccm.
Mh. Hakimu: Mshtakiwa kweli si kweli
Lissu: hayo maneno yamesemwa na jaji walioba na yameandikwa kwenye kitabu hiki Lissu anakionyesha, kwahiyo siyo maneno yangu
Wakili wa serikali: mshtakiwa alikamatwa na kustakiwa kwa makosa mtatu.
Hakimu: Kweli si kweli
Lissu: Mh. Hakimu mimi nilikamatwa mbinga na kusafirishwa usiku wa mnane mpaka dar kisha nikafikishwa mahakamani, maelezo haya hayajatajwa hapa kwahiyo maelezo hayo sio ya kweli
Kazi wanayo🫵🏾🤣
#FreeTunduLissu
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Tanzania's main opposition leader Tundu Lissu has appeared in court for the first time since his arrest on treason charges last month.
He raised his fist in a gesture of defiance and told his supporters: "You will be fine. You should not fear."
https://t.co/9ggaQURGal
Hizi ndio taarifa za habari za kuangalia.
Sio hizi taarifa za WAANDISHI wanaotegemea tuzo za “KALAMU YA WASENGE”.
Uzuri wa sasa hata mkivibana vyombo vya habari vya ndani page zetu zipo zitapost na dunia inaona.
Hakuna kulia lia tena, UOVU UTAONEKANA, na HAMNA CHA KUTUFANYA.
Dunia haitanyamaza, kama mnakamata watu na kuwapa kesi za uongo mjue Dunia ni kijiji na haitakaa kimya.
Mnaweza kutumia mabavu hapa ndani na kucontrol vyombo vya habari lakini wengine watasema na watu watajua uovu wenu.
Asante @SteveLetoo
Kesho tarehe 20 Mei 2025 Mwanasheria Mkuu wa Chama Dr. Rugemeleza Nshala atazungumza na watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, utakafanyika Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam kuanzia saa nane mchana. Waandishi wote wa habari mnakaribishwa
Kama jana hujafanikiwa kuamini kuwa Jeshi la polisi ndio WATEKAJI basi huji kuamini tena.
Katika kamata kamata za jana na kuenda kutesa wanachadema na kisha kuwatelekeza nje ya mji ndio zilifungua vichwa wale waliokuwa hawatuamini tunaosema JESHI LA POLISI NDIO WATEKAJI jana wameamini. @tanpol
Watu walikuwa wanateswa na kuenda kutupwa kwenye MAPORI yaliyopo nje ya mji kama MAGWEPANDE, UNUNIO na wengine nje kabisa ya mkoa wa Dar kule BAGAMOYO.
Magwepande na UNUNIO haya ndio mapori ambayo kwa miaka mingi watu wamekuwa wakilalamikia kuwa huku ndio uteswaji na utekelezwaji wa watu na maiti za watu unafanyika na jeshi la polisi. Ila wapo walioweka pamba masikilioni huwaga hawasikii wala kuambiwa kwenye jeshi lao.
Utakumbuka Mwaka Jana kiongozi WA BAWACHA taifa alienda kuteswa na kutelekezwa kwenye pori la MAGWE PANDE ila bado kuna watu hawakuwa wakiamini kama anayoongea ni kweli.
Unakumbuka kifo cha mzee ALI KIBAO? Mzee kiongozi wa juu kabisa wa ndani ya CHADEMA alieuliwa kikatili na maiti yake kuenda kutupwa pori la UNUNIO.
Sasa jana kulikuwa na makundi mawili ya wanachadema wakioteswa na kutelekezwa kwenye hayo mapori, MAGWEPANDE NA UNUNIO. Unaambiwa kwa wale waliotelekezwa pori la UNUNIO walitelekezwa maeneo yale yale waliyokuta maiti ya mzee KIBAO mwaka jana.
Hapa huhitaji elimu kuunganisha dot kujua aliemuua mzee KIBAO sio jeshi la polisi. Jana tumefunguliwa mambo mengi japo kwa maumivu makali. Wao waliona wanatutesa ila kuna namna tumeifungua dunia macho.
Tukio langu la KUTEKWA nilimtaja afisa wajuu kabisa kuhusika na utekaji wangu na kupigwa RISASI YA KICHWA (FAUSTINE JACKSON MAFWELE) alichukuliwa hatua gani zaidi ya kupandishwa cheo ?
Wanasubiri NIFE ndio waje na RIPOTI YA SATIVA, wanajua hakutakuwa na mtu wa kupinga kama yule Alieuliwa jana nje ya MAHAKAMA na Ester MARTIN PETER kisha wao wanasema wameokota maiti COCO BEACH.
Hilo ndio jeshi la polisi chini ya WAMBURA NA MURILO wamamaliza watanzania.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Sijui ni nani atakuja kukuambia habari zilizojiri leo Mahakamani, Hekima ya Mungu ikae juu yake.
Sijui hata utazipokeaje!... Kinachoniumiza ni afya yako, habari hizi zinaweza kukuongezea matatizo zaidi pengine.
Anyway, yeye aliyekupeleka anayajua yote haya...
TUNAKUOMBEA!.
RAIS Samia, Ulichokifanya siyo kuua Upinzani. Umeimaliza CCM na Kuipa Chadema nguvu isiyokuwa ya kawaida. Chadema wanaenda kuibuka na Nguvu ambayo haitazimwa ndani ya hii nchi. Asante sana kwa kuiua CCM. Shukrani kwako, TISS na Polisi. Tunakuandalia zawadi. Naishia hapa kwa leo.
Wanachama na viongozi wa CHADEMA ambao wametekwa na kuteswa na kutupwa katika mapori mbalimbali Dar es Salaam, wamepelekwa hospitali ya Mwananyamala kupata matibabu, polisi wamefika sasa wakitaka kuwahoji ili waeleze wamefanyiwa vitendo hivyo na nani. Hii nchi imeharibika sana.
Kati ya majeruhi tisa (9) waliopo hospitali ya Mwananyamala wafuatao wamepigwa na kuvunjwa;
1.Tito Kitalika (amevunjwa mkono na mguu)
2. Ally Ibrahimu (amevunjwa mkono)
3.Conifransisco Lawrence (mguu wa kulia)
4.Nasri Aboubakar (amevunjwa mguu)
5. Peter Kilomba (amevunjwa mguu)
Ni haki ya kila Mtanzania kusikiliza kesi kwa Uwazi – Si Laana Kuwa raia Mpenda haki.
Hali inayoendelea nchini, hususan kuhusu kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, inatufikirisha sana.
Ni jambo la kusikitisha kuona Jeshi la Polisi likitumia nguvu dhidi ya wananchi waliokusanyika kwa amani, wakitaka kufuatilia mwenendo wa kesi hiyo.
Huu si utawala wa sheria—hii ni dhulma inayovuliwa ngozi yake mbele ya macho ya umma.
Lakini leo nimejifunza jambo la ajabu sana...🙌
Kuna mzee mmoja, mteja wangu wa muda mrefu. Mgonjwa wa kisukari na shinikizo la damu, ambaye huwa namshauri mara kwa mara kuhusu afya yake.
Tumekuwa tukizungumza kwa miaka zaidi ya miwili, mara nyingine tunacheka, mara nyingine tunajadili maisha kwa kina.
Lakini sikuwahi kujua kuwa huyu mzee alikuwa askari wa Jeshi la Polisi—Mstaafu kwa hiari.
Leo ameamua kufunguka...
Akanieleza kuwa alistaafu mapema kwa sababu alihisi ameanza kupoteza maana ya kazi yake.
Kwa maneno yake mwenyewe..
“Niliona siielewi tena mifumo ya Jeshi letu. Polisi wanatumika kisiasa. Tumekuwa kama zana mikononi mwa watawala, badala ya kuwa walinzi wa haki za wananchi.”
Aliendelea kusema...
“Kilio cha wananchi na maumivu yao vimekuwa mzigo unaobebeshwa Polisi. Watu wanawalaumu polisi, lakini chanzo ni mifumo mibovu ya uongozi wa taifa.”
Haya maneno yamenigusa sana.😭
Kama hata mstaafu wa jeshi anaona haya, basi ni wazi kuwa tunahitaji mjadala wa kitaifa.
Tunahitaji mabadiliko. Na zaidi ya yote, tunahitaji kurejesha utu na misingi ya haki katika taasisi zetu.🙌
Hata kesho nikipotea JESHI LA POLISI TANZANIA LINAHUSIKA. @tanpol
Hawa ndio walioniteka mara ya kwanza 23/6/2024, walitaka waniue kwa kunipiga RISASI YA KICHWA MBUGA KUBWA YA HUKO MKOANI KATAVI IKASHINDIKANA.
HII TWEET MUITUMIE KUWASHTAKI HATA NISIPOKUWEPO.🤝