✅ What I Offer:
YouTube video editing (vlogs, tutorials, gaming, podcasts)
Short-form videos (TikTok, Instagram Reels, YouTube Shorts)
Business promos, ads, and brand videos
Color correction, sound syncing, and smooth transitions
Captions, motion graphics, and creative effects
There are things I have done with women that I wake up to hit my head against the wall everytime I remember them. Bwana this thing called love is very Umbwedede. Kuna wakati ati sasa tumeenda picnic nayeye. Dont judge me,it made alot of sense then when i was still a kafukuswi. Tumebeba mabisquit,yoghurt,tujuice na maji,tukaenda huko Thika. Kuna mahali mnakaa namna hii mnaona tu maji inamwagika kwa cliff, waterfall. Na pia tumebeba shuka tumekaa chini namna hii sasa tunaongelea the future tukiumishana crisps, ninaona kweli hapa ikienda chini hatuwes pata watoto chini ya tano. Saa hiyo ni end month mhindi amenitwanga my honest 17,500kenyattas.
I was in love,yani mpaka sasa tulikua tumediscuss na tukaamua firstborn tunaita yeye Q,ndio watu waniitange babacue,woi! Jamaa wa pickup Wakanigongea baada ya miezi tatu aki mungu wangu, hardware nilikua naekelea simiti sita kwa mabega napanda mpaka 7th floor. Bwana There is a reason jesus never had a female disciple,wangevunja yeye roho arudi binguni na miaka nineteen. Bwana i even suspect ruto is a woman
Naona kama pia mimi nitaanza chama inaitwa Linda eve maina,nikue opposition ya hii jamaa ya one eye. Ruto akienda sugoi,one eye naye anarudi Bungoma,apa mbele mambo inaenda kuchemka aki