Hustling for the Best Only {H.B.O}.✌🏻✌🏻
Yanga and Chelsea die Hard fan.
Plan, design, and build highways, bridges, utilities, and other infrastructure project
Niliwahi muhoji afisa mmoja anae hudumu kwenye mizani congo,mbona mizani yenu mnapima tu gvm kujua uzito wa mizgo inayo ingia na sio kukamata gari zinazo zidi,akajibu,ulishawahi onawapi udongo wa mungu umekanyagwa na gari na ukatoweka?.wewe pakia kadiri uwezavyo kinatacho potea au kuharibika ni gari yako nasio udogo wa mungu.😀😀🙌
@mwigulunchemba1 Shikamoo Mheshimiwa,
Natumaini uko salama. Naomba unisikilize kwa fursa ya uwekezaji wa mobile crusher yenye thamani ya Tsh milioni 21. Mradi huu utasaidia ajira kwa vijana wengi pamoja na kuongeza uzalishaji.
Iwapo itawezekana, hata msaada wa mining compressor
Kuna watu adi leo 2026 wanaamini katika connection. Ipo hivii hakuna mtu hapa duniani anawajibika na maisha yako isipokuwa wewe mwenyewe. Hii vita ni wewe vs wewe.
Kikubwa ni nidhamu na kuamini kuwa unaweza kufika popote bila kushikwa mkono na mtu.
watumishi wengi wa umma hawajui kutofautisha kati ya “serikali” na “taifa.” they confuse the two, na hivyo kuruhusu vitendo vingi vinavyoathiri “maslahi ya taifa” kufanyika kwa sababu tu vinakidhi “maslahi ya serikali.” this needs to change:
Mabinti wengi wa siku hizi.
Kupika ni mateso.
Kufua ni mateso.
Kujifungua ni mateso.
Kumuheshimu mwanaume ni mateso.
Kumsapoti mwanaume ni mateso.
Kwao kila kitu ni mateso.
Akilini mwao wengi wanaamini wataolewa na wanaume matajiri.
Ila tuwaambie, tutakuwepo..
Uvivu ni tabia ya kupumzika kabla hujafanya kazi; ule uchovu unaousikia kabla hujaona matokeo ya kazi; ni ile hali ya kujihurumia ukiamini kazi ni ndogo, haina haraka na unahitaji kuupa mwili shukrani kidogo.
Uvivu ni wepesi wa kughairi jambo ulilopanga ili upate muda wa kufanya kisichopangwa; uvivu ni ile imani unayokuwanayo kuwa mambo yataenda hata usipofanya kitu; ni kuipania mno baadae na kesho kuliko sasa; kufikiri una muda wa kutosha.
Uvivu ni kuamini wengine watafanya ulichopaswa kufanya na hukifanyi; uvivu ni kutegemea wengine watatia bidii usiyokuwanayo; kuwa tegemezi kwa jasho la wengine; kutegea wajibu wako na kujipa wajibu wa kuwalaumu wengine kwa kutokufanya ulichopaswa kufanya mwenyewe.
Uvivu umeua ndoto nyingi.
Uvivu umeharibu kazi za wengi.
Uvivu umeongeza umasikini.
Uvivu umefanya vitabu visisomeke.
Uvivu umeingiza wengi kwenye madeni.
Uvivu umechangia migogoro mingi.
Uvivu umevuruga mahusiano mengi.
Uvivu umefanya wenye uwezo wasiaminike.
Uvivu ni HASARA.
Ukifanikiwa kupambana na uvivu, mwaka mmoja unaweza kukupa matokeo uliyoshindwa kuyaona kwa miaka mingi.