@MariaSTsehai Mtu yupo Nairobi then anakwambia tujipange you and who? Nyie wanaharakati ndio waoga maana hatuwaoni siku ya maandamano. Mbona kina Erick Omondi wanatokea nyie vipi?
@babalao__@chapo255 Kwenye customer care wanajitahidi sana. Sasa wanatakiwa ku upgrade gridi hapo watakuwa wamemaliza changamoto ya kukatika kwa umeme.
@Thommunkondya Nairobi hakuna stendi kwasababu they know hii biashara inaamuliwa na kampuni binafsi.
Ona stendi ya Tanga
Stendi ya Dodoma
Stendi ya chato
Arusha nayo ndio kabisaa zote zitakuwa mapango ya nyoka
@mananajr_ Wamaasai walikua wakivaa ngozi za ngombe na wanyama wengine rangi nyekundu ya damu ilikua identity yao. So viwanda vya nguo vilipo shika kasi Nairobi wao waliamua kwenda na rubega hasa nyekundu kuwakilisha tamaduni yao ya kuvaa ngozi.
@macare_46 Kuna mmoja anabonga kingereza fresh tu. Watu wengi wameanza kuwajua wahadza baada ya hizi social media kishika kasi ila hawa wana interact na jamii nyingine vizuri tu tena kwa kiswahili hata zile silaha zao wanatengenezewa na wadatoga na hapo kiswahili lazima kihusike.
@somebarry Alafu bunge linataka kupitisha billion 400 za kujenga uwanja wa ndege Serengeti kwaajili ya private jet alooo hii nchi imelaaniwa na wabunge wenu wa kusini wanapiga makofi tu. 😥😥😥😥
@Sativa255@HecheJohn Hizo pesa kwa sasa ni ndogo sana. Serikali itatafuta chanzo kingine cha mapato na ndio itajichimbia mizizi kabisa maana pressure za nje zitakua zimepungua. Itakua ina deal na pressure za ndani tu.
Anaitwa Muncy, Huyu ndie yule ambae Diamond alimuagiza Onesmo akampelekee ua pale Dodoma wakat wa show.
Nimekuwekea baadhi ya video na picha wakiwa pamoja 👇👇