Funny enough, our society don’t give a damn how you made your money. Just make money and put it in their faces. That’s all they want to see.
Then they will celebrate you and honor you. That’s how our values have quietly eroded over time cos our elders now worship money 😫
Uzuri ni kwamba ukikubali "KUTUMIKA" unaowatumikia wakikuchoka wanakuangamiza kwa kadri ulivyotumika, watahakikisha unanyamazishwa kwanamna yoyote Ile, maradhi,ufukara ama kifo,
Jiulize unamtumikia nani na kwa faida ya nani?
Historia imeonyesha mara nyingi kwamba hatari kubwa kwa taasisi yoyote haitokani na wakosoaji wa wazi, bali kwa wale wanaovaa vazi la uaminifu huku kwa siri wakipinga misingi yake.
@kalage_jr Maeneo ya wazi, round about yamepewa makampuni kuyahudumia kama vile Pepsi n.k, then kukawekwa by law ukitupa taka anae kukamata na kukupeleka serikali ya mtaa anapata kamisheni toka kwenye hiyo pesa ya faini na unalipwa papo hapo, hivyo kila mtu kawa mlinzi wa mwenziwe
Kwa kumbukumbu zangu ndogo, wakati wa msiba wa Hayati Raila Odinga (RIP), kulikuwa na "tetesi" kuwa alipewa sumu kupitia ndugu yake kaka/dada alieahidiwa uongozi na maisha bora kwa familia yake, sijui nataka kusema nini
Mimi mwanaharakati najivunia pia!
Tundu Lissu ni mwanaharakati aliyeamua kuingia kwenye siasa kuendeleza harakati kama Nyerere na Mandela
Mtu akikwambia ye ni professional mwanasiasa hana kazi nyingine wala hana harakati, huyo ni mjasiriamali wa kisiasa!
Mpooo!?
#FreeTunduLissu