@OWEH8888@Nindi_Jr HAPANA! Kwanza storywalker ni julie sio kristi alfu pia thomas unaemuongelea alishakufa ambae ni mdogo wao ethan na jullie, na naelewa umesema hivo kwasababu ya aliekua anapiga simu na kuwaambia kua mama yao yupo kwenye ambulance wamsaidie yule alikua man in yellow
@habil_habil15@Mghoshiwandima@mkemi4mkUu Usitake kumfananisha Ronaldo na kina almada wenye world cup. "Yeye ni miongoni mwao.?" huwezi kuchukua world cup kama vile ni individual award🚮
@Mghoshiwandima@mkemi4mkUu Kabla ya kuandika inabidi kwanza ujiulize unachokiandika kinaendana na uzito wa swali, Ronaldo akiwa na umri sawa alionao Mbappe sasaivi tyr amechukua Uefa na BallonDior, ishu ya kombe la dunia mzee ni wachezaji kibao wako nayo.