Kwa Ili NI Kweli Kwamba Mbosso amesibitisha kuwa yeye ni mfalme wa Bongo Fleva! Utendaji wake wa live ulikuwa wa kiwango cha kimataifa. Tumeshaona live Performance Nyingi Za Wasanii Wa kubwa Tanzania Ila Hii ya mbosso akuna ya kuifikia , uchezaji wa kuvutia, na hadithi za kugusa moyo.
Video Hii ina mwaka Mmoja YouTube na Tayari ina 1.9M Ikiwa na Lisa Limoja nani Concert,live performance
Video 👇
Inauma ukisomesha Mtoto na hakusaidii, inauma kama Baba umekufa halafu Mtoto anashindwa kukuzika, inauma kugundua raundi ya kwanza imetamatika na Mnyama anaongoza Ligi, inauma kugundua Jean Charles Ahoua anaendelea kutakata na inauma zaidi kugundua ‘Namba sita ya Airport’ ikiendelea kuzikata kamba.
Inauma pale uliyemtuma anarudi anasema nenda Mwenyewe, inauma kusema kuwa Simba amepoteza mechi chache zaidi, amefunga mabao mengi zaidi na ameruhusu mabao machache zaidi, inauma kusema kuwa Simba haipo kwenye mbio zozote za Ubingwa ndio kwanza inajenga timu.
Inauma kusema Msimamo wa Ligi Kuu unauzwa Tajiri, msimamo hauna kipengele chochote labda uje nacho wewe na stori zako za Marefa😀