Msiogope matusi ya watu
Wala mioyo yenu isivunjike kwa dhihaka yao
Maana,watakuwa Kama nguo iliyotafunwa na nondo
Kama sufu iliyoliwa na funza
Bali haki yangu itakuwa ya milele.
Na wokovu wangu kwa vizazi na vizazi
Isaya 51:7-8
#MunguKwanza
Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck akiongozana na nahodha John Bocco leo Ijumaa saa 5 asubuhi wataongea na waandishi wa habari kuhusu mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Yanga ambao utapigwa kesho. Mkutano huo utafanyika kwenye ofisi za TFF na utakuwa mbashara kupitia chaneli yetu ya YouTube.
Leo Mgahawani Nimekunywa Chai Na Sambusa Ya Nyama, Ila Nahisi Hiyo Nyama Itakuwa ya panya Kwa Sababu Hapa Nilipo Najisikiasikia Kuingia Kwenye Mashimo Mashimo Tu 🤔