Nyota ni Elimu ya Sayansi ya kiroho ambayo inatumika Dunia nzima. Kila mtu katika Dunia akitaka asitake, aamini au asiamini atakuwa amezaliwa katika moja wapo ya nyota 12 zimechomoza wakati anazaliwa.
@GpixelP
@MwananchiO14132@Captainpilo7 Kuna mwamba jana usiku kashinda 68M mara mbili alistake double alisubiri ndege ikafika round ya 20,000 ,na aliweka 34061 hope so
@kalegamyeh sema ukiwa Daktari kila mtu anahisi unapokea pesa ndefu pasipo kuujua ukweli π
na wakubwa wanafaidi posho za vyama ila kwetu tuweke uhai kwanza masilahi aaaah
Kuna ambao bila ugomvi wala chuki, walifuta namba zetu.
Waligundua mapenzi yamekwisha na hatuwezi kuliongelea Hilo, wakachagua kujiongeza.
Wamebaki kuwa ma ex tunao heshimiana na kupendana ila kwa mbali sana.
Maturity..β€οΈ
Mambo 5 unayopaswa kuepuka katika Maisha
1. Usitumie zaidi ya unachopata
2. Usiwapuuze wazazi wako
3. Usisahau wale waliokusaidia katika nyakati ngumu
4. Usiruhusu mtu yeyote atawale maisha yako
5. Usitume mtu ujumbe mara kwa mara bila jibu