Allah is so powerful; Allah can change a situation within a second & also destroy anything within a second. For Allah nothing is impossible. Everything belongs to Allah, Allah has power over all things.
Unatizama World Cup unaona hiyo intensity na composure za wachezaji with or without ball aisee ukitaka timu ya taifa imara huwezi mtegemea Samata peke yake lazima wachezaji wengine watoke wakapate hiyo experience wakomae sababu huko Duniani watu wanasukuma ngozi sio poa 😂🙌🏾
Zanzibar anawezaje kutoa huduma bure kama vile Dialysis, upasuaji, kulazwa, huduma za dharura, au homa nk wakati hana Madini, Gesi wala mafuta zaidi ya utalii ambao na sisi bara tunao??
Au sababu zile zile wapo “W/chi wapo Kidogo”
Somali referee Omar Artan, who was set to be the first from his country to officiate at the World Cup finals, has been denied entry to the United States.
What an absolute disgrace. A FIFA-certified referee being denied entry to the United States purely because he is Somali.
The World Cup is meant to bring people together. This is racism, plain and simple. Shameful.
https://t.co/rpSgTmmPU4