Kwamba ACT itakuwa chama kikuu cha upinzani so what? Kwa ACT wao watakuwa wamepiga hatua.
Chadema ikibaki kuwa chama kikuu cha upinzani itakuwa imepiga hatua gani?
Malengo ya CHADEMA ni kushika dola dhidi ya CCM, na hiyo ni vita kubwa. Na ndio kwanza imeanza.
@Shankima71@fbuyobe Akomae sasa asiende kuombaomba kama anao ubavu wa kupambana mwenyewe. Biden kampa hela nyingi sana kumsupport kitu ambacho Trump hawez fanya. Anachofanya ni umaskini jeuri tu.
Just found this great #UPMC 2010 #pathology video for medical students interested in going into the field of pathology. I encourage medical students in #Tanzania to watch, learn and visit our departments for elective rotations. We need you #pathologists
https://t.co/gfnEv72EhI
"My name is Maximus Decimus Meridius,Commander of the armies of North,General of the Phoneix Legions,and royal servant to the True Emperor, Marcus Aurelius. Father to a Murdered Son and husband to a murdered wife.And I will have my vengeance in this life or next." Gladiator Movie
Kilimanjaro Express,
Msimu wa watu kurudi kuhesabiwa na Mkurugenzi kaongeza nguvu tena.
Chuma ina choo kabisa mshindwe nyie tu.
Hii ruti hakuna mnyonge