Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa rais wa awamu ya nne wa Tanzania @jmkikwete
Aliiongoza Tanzania kwa miaka 10 kuanzia mwaka 2005 hadi 2015
Alizaliwa tarehe kama ya leo mwaka 1950 kijijini Msoga
Serikali ya CCM ilitangaza kutosumbuliwa kwa machinga.
Leo Serikali hiyo ya CCM inawafukuza ambao waliwapa uhuru wa biashara miaka ya nyuma.
Mwaka 2024 na 2025 watakuja tena kusema wanawapa uhuru wa biashara kwa kuwa wanataka kura zao.
Machinga msikubali kuwa daraja la CCM.
Atabaki kwenye historia kuwa ni Rais pekee aliyeunganisha karibu mikoa yote ya Tanzania kwa barabara za lami.
Alipokea nchi kutoka kwa Mkapa ikiwa na lami km 6500 tu. Akamwachia Magufuli nchi ikiwa na lami km 17,762.
Happy birthday @jmkikwete
Bunge limetunga sheria za ongezeko la TOZO, wananchi wanalia TOZO ni kubwa, Bunge linashindwa kutoa UAMUZI wowote, Rais anatoa AGIZO tozo zipunguzwe, Wabunge wanamsifia Rais kuwa ni mtu MSIKIVU! Unataka USHAHIDI gani mwingine kuthibitisha Katiba imempa Rais MADARAKA ya 'Kifalme'
Dhana ya kwanza kabisa ya askari Polisi kubeba silaha, ni KULINDA uhai. Nimeona taarifa ya habari, Polisi imeua watu watano aliojaribu KUTEKA gari la Polisi kwa kutumia mabomu na mapanga! Hivi, mtu anawezaje kutumia BOMU na PANGA kuteka gari la Polisi lenye askari wenye SILAHA!🤔
Meneja Nadir Haroub ‘Canavaro’ ni ishara ya succession plan katika Soka. Alikuwa Nahodha wa Timu ya Taifa muda mrefu na sasa amekuwa Meneja wa Timu. Leo katika siku ya mwisho ya mazoezi ya #TaifaStars@TaifaStars_ ameniambia morali ya wachezaji ipo Juu sana. Kila la Kheri Stars
Changia Familia za Makomandoo wetu wazalendo na watiifu kwa Taifa la Tanzania waliobambikiwa kesi ya Ugaidi sambamba na Mh Freeman Mbowe.
Namba ya akaunti: 22601605514
Jina ka akaunti: BAWACHA TAIFA
Jina la benki: NMB BANK
M-Pesa 0763 333 226 (WANAWAKE WA BAWACHA)
#MJUE AMANI GOLUGWA PART 3
👉Movement for Change (M4C), ilianzishwa Arusha na kikao cha kuibuni LOGO alikuwepo; Amani Golugwa, Elifuraha Mtowe, Joyce Mukya na Mhe Freeman Mbowe
👉Amani Golugwa ndiye aliyeandika na kupendekeza kauli mbiu ya - NO HATE NO FEAR kwenye mkutano mkuu
👉Haka kajamaa kana akili sana
👉Ni rafiki wa karibu wa Freeman Mbowe
👉Ni mmoja ya vijana wachache ambao Mbowe aliwekeza kwao na kuwapatia mafunzo na fursa ya kushiriki kwenye matukio ya kitaifa na kimataifa kwa maslahi ya chama na taifa
Kama utapenda kuwa sehemu ya kusaidia familia hizi, una nafasi ya kuchangia kupitia:
Namba ya akaunti: 22601605514
Jina ka akaunti: BAWACHA TAIFA
Jina la benki: NMB BANK
Kutoa ni moyo, wa kukulipa ni Mungu tu 🙏🏽
Akaunti hii ipo chini ya baraza la wanawake wa CHADEMA (@BawachaTaifa) na hivyo kuanzia sasa zoezi lote tunalielekeza kwao na litasimamiwa na Mwenezi wa BAWACHA TAIFA, ndg. Aisha Machano. Sisi wengine tuendeleee kushiriki kwa kuwahimiza wengine washiriki pia. Tutoe ushirikiano.
Habari!
Tumefanikiwa kupata akaunti namba, wadau wengi wamesema hawataki kuchangia kupitia namba ya simu, lakini wanataka kuwachangia wake wa washtakiwa wenzake na Freeman Mbowe kupitia benki👇
Namba ya akaunti: 22601605514
Jina ka akaunti: BAWACHA TAIFA
Jina la benki: NMB BANK
Wapo wanaosema shida zetu sisi ni elimu,maji, umeme, vituo vya afya na sio katiba. Pengine hili ni kweli, lakini binadamu ni tofauti na wanyama, wanyama wao ukiwapa nyasi na majani basi mahitaji yamekamilika anasubiria kuchinjwa, binadamu hatusubirii kuchinjwa"Jenerali Ulimwengu
Jeshi la Polisi @tanpol walizuia kikao cha ndani cha Kamati Kuu cha @nccrmageuzihq. Tulitegemea Msajili wa vyama vya Siasa angekemea Polisi. Lakini amekuwa kimya. Chadema hatuna mgogoro na Polisi bali Polisi wana mgogoro na PGO yao na Katiba ya nchi wanazozivunja kila siku... 👇